Stephen Bika Magira alikamatwa pamoja na washukiwa wengine, Nabil Aloo Mohamed na Bakari Kila Anashtumiwa kupata mali yake kupitia uchawi na hongoWakili wa Magira, John Kinyua alisema walituzwa KSh 1.2 milioni kikatiba wakati jaji wa Mahakama Kuu ya Mombasa, Pj Otieno kutoa uamuzi kwa faida yaoHabari Nyingine:Baringo: Chatu Mkubwa Atembelea Kaburi la Mshikaji Nyoka Kumuomboleza
Mwanamume mmoja ambaye anasemekana kuwa mganga amekamatwa na polisi mjini Mombasa kwa madai ya kumiliki KSh 18 milioni na magari yenye thamani ya KSh 30 milioni kwa njia isiyokuwa halali. Read More...
- Msichana huyo mwenye umri wa miaka 15 anadaiwa kumdunga kisu kifuani mpenziwe wa kidato cha pili baada ya mzozo wa kimapenzi kuzuka kati yao
- Mvulana huyo mwenye umri wa miaka 19 alikimbizwa katika hospitali ya St. Marys, Lang'ata lakini alikata roho akiwa njiani
- Mshukiwa amezuiliwa katika kituo cha polisi cha Lang'ata huku mwili wa mwendazake ukipelekwa katika makafani ya City
Maafisa wa polisi wamemkamata msichana mwenye umri wa miaka 15 anayedaiwa kumuua mpenzi wake wa miaka 19 kwa kumdunga kisu mtaani Lang'ata jijini Nairobi. Read More...