blog

Digrii Si Lazima, Uongozi Unatoka kwa Mungu - DP William Ruto

published on
Naibu Rais William Ruto amepuzilia mbali masharti ya IEBC ya yanayosema kila anayetaka kuwania kiti serikalini anapaswa kuwa na digriiRuto alisema ataunga mkono marekebisho yanayolenga kufuta kifungu cha 22 cha Sheria ya Uchaguzi kinachowataka wanaojitosa katika siasa kuwa na shahadaIEBC imesisitiza kuwa mahitaji hayo yatazingatiwa katika Uchaguzi Mkuu wa 2022 Naibu Rais William Ruto alishutumu Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuhusu agizo lake la kuwataka watakaowania nyadhifa za uchaguzi 2022 kuwa na Shahada. Read More...